速報APP / 音樂與音效 / Rubega Muziki | BongoFlava & Swahili Mus

Rubega Muziki | BongoFlava & Swahili Mus

價格:免費

更新日期:2019-02-17

檔案大小:3.0M

目前版本:RM-1.02.1

版本需求:Android 4.1 以上版本

官方網站:https://rubega.com

Email:info@rubega.com

聯絡地址:Mwanza, Tanzania

Rubega Muziki | BongoFlava & Swahili Music(圖1)-速報App

Rubega Muziki ni mtandao umeundwa kutengeneza jamii ambapo watu watasikiliza miziki ya Kiswahili, kupakia nyimbo zao, kupata miziki mipya na kusambaza kwa marafiki na duniani kote.

Inayokuwezesha Kupata Nyimbo Mpya Kwa Urahisi Zaidi

Pata Nyimbo Mpya Za Wasanii Uwapendao Kwa Kupakua Rubega Hii Bure Kabisa

Pata Nyimbo Za Bongo Fleva Na Gospel Kwa Kupakua App Bure Kabisa

Mtandao wetu unaweza kufanya yafuatayo ukiwa na app hii:

- Unaweza kupakua au kupakia miziki bila kikomo

- Kusikiliza na kucheza nyimbo mubashara

- Kuchat na wasanii uwapendao au marafiki

- Unaweza kupachika nyimbo moja kwa moja kwenye tovuti yako na watembeleaji wako wakazicheza pale pale katika tovuti yako

Rubega Muziki | BongoFlava & Swahili Music(圖2)-速報App

- Unaweza kutengeneza orodha ya nyimbo na kuipachika katika tovuti yako au kusambaza kwa marafiki

* Muziki wa kiswahili

* Bongo flava / bongoflava

* Muziki wa Bongo flava

*alikiba, diamond platinumz, vanessa mdee, harmonize, joh makini na wengine wengi

*Zilipendwa

*Injili na gospel!

*keywords

Diamond Platnumz

Rubega Muziki | BongoFlava & Swahili Music(圖3)-速報App

Alikiba

ITV Tanzania

Millard Ayo

Magufuli

Makonda

WCB

Wasafi

Azam

Simba

Rubega Muziki | BongoFlava & Swahili Music(圖4)-速報App

Yanga

Rubega Muziki | BongoFlava & Swahili Music(圖5)-速報App